Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Hongera,umepata mume mstarabu na mpole.
Pole kwanini hio hali inakutokea mara kwa mara,ni mrembo kupitiliza ama aina ya uvaaji?
Asante sana Mkuu.
Nadhani inatokea tu nipo kawaida sio mrembo na navaa mavazi ya kawaida suruali…gauni sidhani kwa mtumishi wa Umma anaweza kuvaa mavazi ya kuexpose mwili.
