myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Duh..Utaona maramoja tuuView attachment 2406921
Duh..Utaona maramoja tuuView attachment 2406921
Sio poa aiseeVimenisave kinyama,, lazima nivibebe
Niko na babe kwa date unaleta bussiness card au wataka lipa bill,,nakuua
Mwaka juzi nlienda the backyard then kuna mwarabu mmoja akafanya huo upuuzi,,Sio poa aisee
ishawahi kukutokea au ?

Vimenisave kinyama,, lazima nivibebe
Niko na babe kwa date unaleta bussiness card au wataka lipa bill,,nakuua



Marahaba shkamoo jirani
Hujambo jirani..
We unamuitaje wife mimi nikiwepo,, yaani umenidharau unataka uingie kwenye himaya nikiwepo. Ni kukurukia mateke tu ukafie mbele
Wanaume mnajidai mna wivu
😂😂😂😂We unamuitaje wife mimi nikiwepo,, yaani umenidharau unataka uingie kwenye himaya nikiwepo. Ni kukurukia mateke tu ukafie mbele
Duh aiseeMwaka juzi nlienda the backyard then kuna mwarabu mmoja akafanya huo upuuzi,,
hatanisahau![]()
Hzo ni dharau kinyamaDuh aisee
Bora ulimuonyesha kuwa wewe ndo mmiliki .
Marahaba jirani...unaendeleajeMarahaba shkamoo jirani
Nipo Mjukuu 🤪Safari ya wapi babu
Kumbe Kuna dislike?
Nipo nasikiliza masomo hapa badae niingie na maombiSi unajua leo ijumaa so walaze madogo mapema mapema kabisaaaaa mkuu😆
Kila la kheri ndugu yangu usiache kutuombea sisi wengine wakosefuNipo nasikiliza masomo hapa badae niingie na maombi View attachment 2407055
Halleluja! Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utufuku, ila tumeokolewa na kuhifadhiwa kwa neema tuKila la kheri ndugu yangu usiache kutuombea sisi wengine wakosefu
Amina kaka mkubwa🙏Halleluja! Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utufuku, ila tumeokolewa na kuhifadhiwa kwa neema tu
Selfika dadaAmina kaka mkubwa🙏
Utakua na nyota kali sana.Asante sana Mkuu.
Nadhani inatokea tu nipo kawaida sio mrembo na navaa mavazi ya kawaida suruali…gauni sidhani kwa mtumishi wa Umma anaweza kuvaa mavazi ya kuexpose mwili.