National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskiniHali ni mbaya maji yarudi tu
Chimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskiniHali ni mbaya maji yarudi tu
Unapambana tuNaogopa yaani😂
Nawaza nianze mapambano na maji kweli!.
Mbona nitakonda sana,😁
Niliuliza bei ukakaa kimya🤷♂️Aww 😍😍😍
Mpesa yangu ipo wazi kabisaaa
Sitaki nitume muamala halafu nisione umevaa!Lizzy hakujibu
Ila haipungui 30k kale
Yeah , it's really getting worseChimbeni visima poleni lakini, watu wanapata shida sana maskini
Jamani polee fanya kumleta kwakweliInabidi tumlete mtoto wetu aisee
Kuondoka tu kidogo mtoto ameachwa ana ulcers![]()
Na mimiNiliuliza bei ukakaa kimya![]()

Unataka kile kigauni?Na mimi![]()
Wewe tuma halafu uone kama sitavaaSitaki nitume muamala halafu nisione umevaa!
Karibu tena
Huu nao niliusikiliza sana
Ni huzuniJamani polee fanya kumleta kwakweli
Mungu mwema ..Nimekaribia bosslady..
Habari ya wikiendi..
Mungu mwema ..
nzuri tu vipi wewe ?
Ooh huko mna rahaMungu ni mwema, kuna baridi tu ukanda huu..
Maji yakirudi nitarudiUnapambana tu
Muda wote watu wanahangaika na ndoo .
kukinga shida aisee , na kama hayapo ndo taabu zaidi .
Shkamoo mwaalimu