Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Yule mtoto wetu au?Inabidi tumlete mtoto wetu aisee
Kuondoka tu kidogo mtoto ameachwa ana ulcers![]()

Yule mtoto wetu au?Inabidi tumlete mtoto wetu aisee
Kuondoka tu kidogo mtoto ameachwa ana ulcers![]()

Kiti Cha enzi
Kiti Cha sifa
Nyenyekea utapata majibu
Amini amini kuna jubu
Ukija nakupa mirinda nyeusiNakuja mchumba!
Sawa mchumba!Ukija nakupa mirinda nyeusi
Pumzi yangu ni wewe tu
Uje na zawadiSawa mchumba!
😂😂😂😂😂Yule mtoto wetu au?![]()
Hadi naogopa kuja DSM Kwa sababu ya shida ya maji
Hali ni mbaya maji yarudi tu
Hivi kile kigauni cha Lizzy uliishia wapi?nimeaanda helaUje na zawadi
Kama ni yeye plz mpeleke kesho😉😂😂😂😂😂
Aww 😍😍😍Hivi kile kigauni cha Lizzy uliishia wapi?nimeaanda hela
Rudi tu dear , tutapambana hivi hivi .Hadi naogopa kuja DSM Kwa sababu ya shida ya maji
Nikirudi nitampeleka Cheupe wetu😂Kama ni yeye plz mpeleke kesho😉
Pumzi yangu ni wewe tu
Uzima wangu ni wewe tu
Afya yangu ni wewe tu
Rid me of the pride of this world
So that I can see you clearly
Nimeufikia wimbo wako...
Huwa nikisikiliza huu wimbo nakukumbuka sana😢
Niliuliza bei ukakaa kimya🤷♂️Aww 😍😍😍
Mpesa yangu ipo wazi kabisaaa
Naogopa yaani😂Rudi tu dear , tutapambana hivi hivi .
dumu 500
maji yamekuwa bidhaa adimu .
Lizzy hakujibuNiliuliza bei ukakaa kimya🤷♂️
Njoo kwetu, hakuna shida ya maji 😁😁😁 wala umeme...Hadi naogopa kuja DSM Kwa sababu ya shida ya maji