Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Itakuwa Alqaida hawa washenziHivi Hawa TANESCO ni watanzania wenzetu kweli?au ni watu kutoka nchi jirani maana sio Kwa manyanyaso haya
Itakuwa Alqaida hawa washenziHivi Hawa TANESCO ni watanzania wenzetu kweli?au ni watu kutoka nchi jirani maana sio Kwa manyanyaso haya
Wakweli ya siku ya 7 LeoItakuwa Alqaida hawa washenzi
Sijui hata huwa wanafikiria nini hawa ndugu zetu alqaidaK
Wakweli ya siku ya 7 Leo
Dawa za mapenzi hzi anyway msalimie Mama samia
😂😂😂😂😂 kupendwa raha bana nilikuwa sipend kuoga sshv naogeshwa 😍😍Baba Yolly Yolly sikuhizi hunaa mbwembweee kweli kupatwa kwa Mr Carrasco😁😁😁
Hebu shevu vizuri zikae vizuri nawee zimerandamkaaaaa
Endelea kutia mbolea ziongezeke sasa.Dawa za mapenzi hzi anyway msalimie Mama samia
kupendwa raha bana nilikuwa sipend kuoga sshv naogeshwa
![]()
Yani nikimuona mtu single namtemea mate
Usiku mwema jaman yolly yollykanimic




duhhhBinaa ujue nasubiri picha za kipanga wetu Reyy🥰duhhh
😂😂😂😂Nilikuwanga na kwenye marathon ya kutafuta dollar , kwa sauti ya Wakenya![]()
Pole kwa kuumwaHivi kupenda kupika huu ni ugonjwa ama ni Nini?
Saint Anne
Yani Kwa jinsi nilivo na homa Leo lakini nimepika Yani jasho linanitoka hapa jikoni looh Hadi kunamtu kaja kanishangaa😂😂😂
AsantePole kwa kuumwa
cooking is a passion
ooh kupika ni hobby aiseeAsante
Ni balaa somtym unasema sipiki Leo lakin from no where upo jikoni😂
Hili geto mbona ka nalijua 😜
Hakika ..Furahi Mama , maisha yenyewe mafupi haya