Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Wewe kama mimi Auntie
Ungekaa na Mimi ungepata Raha mm naenjoy nipike watu wale![]()
Wewe kama mimi Auntie
Ungekaa na Mimi ungepata Raha mm naenjoy nipike watu wale![]()
Pole sana Mkuu
Mjep usijidai huoni
Hii kila mtu anayohobby yangu kula vilivyopikwa
Asante,Pole sana Mkuu
kumbuka kusali kabla ya kulala
🥰Wewe kama mimi Auntie
Nilijua tu utanimiss.
Sioni nini tena mama mchungaji?Mjep usijidai huoni
Humuoni Sophy wife materialSioni nini tena mama mchungaji?
Salama chief
Ukute wanajiandaa na mechi alfajiriSalama chief
Mbona mapema sana
Wewe na boss lady mnalala mapema kulikoni?

Mdogo wangu leo pia si haba umetupia vitu vyakoUkute wanajiandaa na mechi alfajiri
Shkamoo Mjep
Mdogo wangu leo pia si haba umetupia vitu vyakoUkute wanajiandaa na mechi alfajiri
Shkamoo Mjep
Huyo Wige lazimaaaMdogo wangu leo pia si haba umetupia vitu vyako
Mechi gani hiyo?
Boss lady Antonnia njoo utuambie ni mechi gani mnajiandaa kucheza na Wigelekelo ?
Wige Mtu wa knamu gwako Saint Anne mr vocha si unaona wakikaa hata sekunde lazima wanisiane na kakili mwenyewe hawawezi kukaa bila kuqwotiana mr vochaMdogo wangu leo pia si haba umetupia vitu vyako
Mechi gani hiyo?
Boss lady Antonnia njoo utuambie ni mechi gani mnajiandaa kucheza na Wigelekelo ?
Wabheja sana mdogo Wangu hapa nashukuru nimepangiwa maeneo ya mwaloni huko nikanywe zangu supu ya Samaki tani yanguu!!Huyo Wige lazimaaa
Boss ledi kesho anasimamia Necta.
Wige nadhani kapepo kamemvaa aje kuharibu kapo yangu.Wige Mtu wa knamu gwako Saint Anne mr vocha si unaona wakikaa hata sekunde lazima wanisiane na kakili mwenyewe hawawezi kukaa bila kuqwotiana mr vocha
Itakua wanakua wanafanya mazoezi ya asubuhi ili kujiweka fit labda!!
Mie napambana na hali yangu tyu nimedokaaaa!!