Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi hazifai!
Tumbo likijaa gesi sijui itakuwaje,
Na nikikosa appetite si ndo naenda kufa njaa Mimi!
Nilivyo mvivu kula.


Mabeetroot siyapendii [emoji3064]
hahahaha beetroot mabaya
usiwaze unaweza pata kama hii yangu .

beetroot unaweza weka passion ili upate ladha tamu .
 
hahahaha beetroot mabaya
usiwaze unaweza pata kama hii yangu .

beetroot unaweza weka passion ili upate ladha tamu .
Nionyeshe zako na mimi nizitafute


Nikiweka na hayo mapasheni ndio kabisaa narudisha chenji hapohapo.
 
sasa hivi jitahidi kwenye vyakula hivyo kama maini , mayai , maharage , spinanchi bila kusahau tembele mchemsho .
Huo mchemsho wa Tembele lol![emoji23]
Kuna kipindi damu ilipungua,nikawa nakula sana hivyo vyakula,kila siku.

Hadi sasa nishaachana na juice nyingine,ni mirozelle tu nakunywa.
 

Attachments

  • IMG_20221024_155659_953~2.jpg
    IMG_20221024_155659_953~2.jpg
    475.7 KB · Views: 5
Back
Top Bottom