Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Hahaha ndiooo๐ kafanya kazi nzuri kweli lkn inampasa atulie.. am not a photogenic
Flat for life eee ๐๐๐๐๐
Hahaha ndiooo๐ kafanya kazi nzuri kweli lkn inampasa atulie.. am not a photogenic
Flat for life eee ๐๐๐๐๐
Uongee nae nn? ๐๐ me sijakosea kitu Iโm sureNitamfata niongee nae, hanaga shida yule shemu wangu
Hahahaa jishaue
Baba Yolly Yolly sikuhizi hunaa mbwembweee kweli kupatwa kwa Mr Carrasco๐๐๐Soon as possible Carrasco madevu uchebe
Raha ya komwe uwe mweupe bibi weee
Nyie yolly yollyana komwe Ila hana kitambi View attachment 2396277
Uje Mbeya Auntie๐Sawa nikienda Tena nitakwambia wanipe๐
Eti randamka ๐ ๐ ๐Baba Yolly Yolly sikuhizi hunaa mbwembweee kweli kupatwa kwa Mr Carrasco๐๐๐
Hebu shevu vizuri zikae vizuri nawee zimerandamkaaaaa
Dec nafikiri nikiwa sawa nitakuwa Njombe ๐uniandalie wa kutosha nitakuja nikuone Mama JuniaUje Mbeya Auntie
Nitakuchinjia
๐๐๐Eti randamka ๐ ๐ ๐
Aisee.....
Ndio nipo natupiga msasa wa lisheDec nafikiri nikiwa sawa nitapita mitaa hiyo ๐uniandalie wa kutosha
Ndio nipo natupiga msasa wa lishe
Dec tunakadedisha kamoja
Utaenjoy Auntie..
Tena hautagundua hata..nitakuroastia vizuuuuri .
Uwii jirani yangu kipenzi ๐Aisee.....
๐Aisee
Utakuja kujilaumu kuwa ulichelewa wapi๐๐๐๐
Ndio atashindwa kumpiga Yolly Romance ya kidevu vizuri!๐Eti randamka ๐ ๐ ๐
Ukawa mjenzi lini ๐๐Monday โView attachment 2396168
Zimerandamka ๐Ndio atashindwa kumpiga Yolly Romance ya kidevu vizuri!๐
Nikitoka nje ntapiga lile vumbi
Jana ulipotea gafla naomba za weekend asee!!Nikitoka nje ntapiga lile vumbi
ooh nipo poaMungu ni Mwema mkuu , napambana na hali yangu, hofu kwako