Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Side effects zake ni zipi?
napenda sana kuwafutilia dawa aisee

folic acid nyingine ni mbaya aisee
zinafanya upate black stool , bloating , loss of appetite , constipation pia

however fanya njia nyepesi natural ya beetroot . nasikia hutakiwi kuchemsha ila yanachukua cha kusagia karoti then una peel hivi baada ya hapo you can add water then ule beetroot hivyo .
 
Basi hazifai!
Tumbo likijaa gesi sijui itakuwaje,
Na nikikosa appetite si ndo naenda kufa njaa Mimi!
Nilivyo mvivu kula.

Mabeetroot siyapendii
 
Side effects zake ni zipi?

hata hivyo zina umuhimu sana kwenye suala zima la ku conceive na first trimester ambapo mtoto ndo anatengeneza .

Folic acid supplements when taken as part of a multivitamin are associated with an increased likelihood of pregnancy. They are also essential nutrients that every woman should take when planning to get pregnant.

CDC urges all women of reproductive age to take 400 micrograms (mcg) of folic acid each day, in addition to consuming food with folate from a varied diet, to help prevent some major birth defects of the baby's brain (anencephaly) and spine (spina bifida).
 
Nikikaribia kubeba kaJunia nitazisaka
 
Back
Top Bottom