GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,073
- 16,390
Mamb...ooh kupika ni hobby aisee
sijapika siku nyingi sasa , nakuelewa kabisa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamb...ooh kupika ni hobby aisee
sijapika siku nyingi sasa , nakuelewa kabisa .
Hongera shogaa mi nikiwa peke yangu sili Kabisaa nashinda njaaaHivi kupenda kupika huu ni ugonjwa ama ni Nini?
Saint Anne
Yani Kwa jinsi nilivo na homa Leo lakini nimepika Yani jasho linanitoka hapa jikoni looh Hadi kunamtu kaja kanishangaa![]()
HobbyHivi kupenda kupika huu ni ugonjwa ama ni Nini?
Saint Anne
Yani Kwa jinsi nilivo na homa Leo lakini nimepika Yani jasho linanitoka hapa jikoni looh Hadi kunamtu kaja kanishangaa😂😂😂
Ngoja nikupe kulee backdoorBinaa ujue nasubiri picha za kipanga wetu Reyy![]()
Poa
ooh kupika ni hobby aisee
sijapika siku nyingi sasa , nakuelewa kabisa .



hobby yangu kula vilivyopikwaEwaaaNgoja nikupe kulee backdoor
Hebu mwambie achangamke basi😂😂Hobby
Wewe wife material pure,
Mjep amalize mchezo tukuchukue.
Ungekaa na Mimi ungepata Raha mm naenjoy nipike watu wale 😂hobby yangu kula vilivyopikwa
Tena akizubaa nitamtandika makofiHebu mwambie achangamke basi😂😂
Uwii pole yaani mm kunawatu wakifka home kabla ya salamu wanauliza umepika nn mdogowangu😂😂😂Hongera shogaa mi nikiwa peke yangu sili Kabisaa nashinda njaaa
ooh vyemahobby yangu kula vilivyopikwa
Nipo poa vipi wewe ?
😂😂Tena akizubaa nitamtandika makofi
Hii kapo nishaipitisha zamani mno hata kabla sijaongea.
Wife materials tumebaki wachache,
Tofauti yako na mimi,Mimi napika ila mvivu kula.
Nimefurahi kusikia, uko poa.Nipo poa vipi wewe ?
😂😂ooh vyema
mie labda viwe vitamu , vikiwa sio vitamu naonaje sijui.
ooh vyema
kiukweli nipo judgemental fulani kwenye vyakula .
Uchovu leo umenizidia.ooh vyema
uwe na wakati mwema
ndo unawahi kulala hivyo ?