Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
Siingizi dawa mwilini kama siumwi walai !! 😀😀shida ni kuwa watanzania hatuna utaratibu wa kupata supplements.
hii Folic Acid ni Vitamin B9 ambayo wameweka kwenye vidonge .
kama vile vitamin C
sasa hiyo dawa ina shida gani jamani
Folate, also known as vitamin B₉ and folacin, is one of the B vitamins. Manufactured folic acid, which is converted into folate by the body, is used as a dietary supplement and in food fortification as it is more stable during processing and storage.
