Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,095
[emoji75]Kidemu chenyewe futi 4 hakifiki
[emoji75]Kidemu chenyewe futi 4 hakifiki
Leo siku ya kupiga kinywaji, afe kipa afe beki, lazima nilewe
Uongozane na watu wa kukubeba tafadhali😅Leo siku ya kupiga kinywaji, afe kipa afe beki, lazima nilewe
🤣🤣🤣 ulimiliki ki-andunje ,ila vitamu lakiniKidemu chenyewe futi 4 hakifiki
Pambana na jeuri yako sasa 🤣🤣Kidemu chenyewe futi 4 hakifiki
Salama kabisa sijui nyieSalama mpendwa katika Bwana
Wajionaje khali?
Salama kabisa sijui nyieSalama mpendwa katika Bwana
Wajionaje khali?
Lord give me a sign!
DedicationKidemu chenyewe futi 4 hakifiki
My sweetest lover😂Nye nye nye nyee
Hilo li kipara ngoto[emoji848]
Nyonyoma wahed
Vuta na kiti ukaeHalua haina makombo
Nitasubiri tu
NarudiUrudi kwenu Tukuyu huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kidemu chenyewe futi 4 hakifiki
🤣shambulio la hisia linaloweza kupelekea muachajwi kudhurika kihisia na matokeo yake kudhoofika kwa afya ya akili na mwili kwa ujumla au kupoteza uhai
Kuna wimbo wao unaitwa "imenigharimu" usikilize dear.[emoji328] Weekend
Tumeuona mkono wa Bwana[emoji445]View attachment 2366430
Huyo shenz inabidi aachane na kupenda kizembe zembe, mguu moja awe anaweka nje mwingine mpakani.. Mad Max 😊😊🤣shambulio la hisia linaloweza kupelekea muachajwi kudhurika kihisia na matokeo yake kudhoofika kwa afya ya akili na mwili kwa ujumla au kupoteza uhai
Mtie moyo tutamkosa,tuko wanaume wachache duniani🤣🤣
Eeeh! Ndio maana hutaki kutokaa.. 🤠🤠📷 Weekend
Tumeuona mkono wa Bwana🎶View attachment 2366430