National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Asante dearKuna wimbo wao unaitwa "imenigharimu" usikilize dear.
Acha tu leo naogopa ata kutembeaMad Max 🤠🤠🤠 kama nakuona badae unanikuta na ex wako View attachment 2366444
Yaani hapa hata kwa bunduki sitoki nje😂Eeeh! Ndio maana hutaki kutokaa.. 🤠🤠
Njoo hutaki haya basi 😁😁Yaani hapa hata kwa bunduki sitoki nje😂
🤠🤠 Tembelea makalio, ukitembea kwa mguu msala.. Unanikumbusha mika mingi kuna mtu alinitoa bikra alafu akaniacha, 🤣🤣🤣 nilipagawa kinomaaa..Acha tu leo naogopa ata kutembea
This song daah, maneno yanagusa hadi ndani
Ngoja jioniiiNjoo hutaki haya basi 😁😁
😊😊🌶️🌶️🌶️ Na zawadiNgoja jioniii
Saivi nipo kiupako zaidi😂 niache
Gari gani? Nishanywea Heineken.🤠🤠 Tembelea makalio, ukitembea kwa mguu msala.. Unanikumbusha mika mingi kuna mtu alinitoa bikra alafu akaniacha, 🤣🤣🤣 nilipagawa kinomaaa..
Halafu ni watu wa familia moja (ndugu).This song daah, maneno yanagusa hadi ndani
Nishaudownload kwa simu
Ila hawa watu wanaimba sana + sauti zao wanazipangilia vzuriView attachment 2366456
Zawadi pilipili?😊😊🌶️🌶️🌶️ Na zawadi
🤠🤠🤠 Unatembelea ngoko kama mie eee... Mapenzi yanaumaaaaGari gani? Nishanywea Heineken.
Basi 🥒🍆 chagua kimojaZawadi pilipili?
Akuu sijiii
Ni wana ushirikiano sana, nyimbo zao nazipenda sanaHalafu ni watu wa familia moja (ndugu).
Nyimbo zao nyingine zina miondoko tofauti na huo Mkono wa Bwana. Nahisi waliona watafanana sana na kwaya ya kijitotonyama.