Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Tunaomba hiyo glass Mtumishi
Tunaomba hiyo glass Mtumishi
Njoo uchukue mtumishi nitakupa na chupa ipo nusu yenye jina linalofanana na ID yako😅Tunaomba hiyo glass Mtumishi
Nataka hivyo vyote😋Basi 🥒🍆 chagua kimoja
Njoo uchukue 😎Nataka hivyo vyote😋
WoiNjoo uchukue mtumishi nitakupa na chupa ipo nusu yenye jina linalofanana na ID yako![]()

Kijitonyama wamebaki kufanya remix tu.Ni wana ushirikiano sana, nyimbo zao nazipenda sana
Kuna nyingine inaitwa Sio bure nayo nzuri sana
Na enzi zile kwaya ya K'nyama ilikua ndio inakimbiza sana ila hawa hii style yao ni unique, hata ukisikia tu sauti kwa mbali unajua ndio wao
On my way🛹🛹🛹Njoo uchukue 😎
Niizamie chini 🤣🤣On my way🛹🛹🛹
Kwakweli saivi hawashtui kama ile zamaniKijitonyama wamebaki kufanya remix tu.
Hawana mashabiki kama zamani.
Huu hapa ndio mkaliHalafu ni watu wa familia moja (ndugu).
Nyimbo zao nyingine zina miondoko tofauti na huo Mkono wa Bwana. Nahisi waliona watafanana sana na kwaya ya kijitotonyama.



Wewe tu🤣🤣Niizamie chini 🤣🤣
Huu hapa ndio mkali
Kesho huyu kijana smeandaa tamasha ila hata watu hatushtuki kama zamani.Kwakweli saivi hawashtui kama ile zamani
Ila walijua kutupa burudani, waliitendea haki gospel
😋😋 Nitaila kama 🍖🍖🍖🍖 hadi. Mfupa namezaWewe tu🤣🤣
Hata ukitaka kuirukia kwa juu fresh
Wa kupiga kwenye harusiHuu wimbo![]()
Saivi vijana wanaoimba gospel sijui ndio la kisasa wameteka sokoKesho huyu kijana smeandaa tamasha ila hata watu hatushtuki kama zamani.
Jamaa alikuwa fundi sana kuimba kile kikongoView attachment 2366469
Jirani nisubiri nakujaMchana wa kula..
View attachment 2366470
😅😅 kwahiyo unataka apagawe pia?🤠🤠 Tembelea makalio, ukitembea kwa mguu msala.. Unanikumbusha mika mingi kuna mtu alinitoa bikra alafu akaniacha, 🤣🤣🤣 nilipagawa kinomaaa..