Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Usiwasikilize chawa na wapambe hao wii sijawahi ona mahala Mr vocha ananiita laazini darling wala sweetheart hata kwa bahati mbaya humuuu wanapaka tope penzi lenu haoo Mjep ni wako wakufa na kuzikana!! Mie Vijana siwawezi mwenzioooo 🙌🙌🙌🙌🙌!!Marahabaa my wizooo mzima wewe😘
Huyo kaka yako alinikimbia akaenda kwa Anntonia now kabaki kuwa boss wangu na kibanda cha vocha alikigawaa
Nasema uongo boss Mjep



