Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipoo boss namim napambana nikuwe boss kama wewe

Selfie imekupita tayar labda keshoo
Shikamoo wifi.... umerudi lini Kuna mtu alichukua nafasi yako hapa sitak kumtag nlirecord kila kitu na kuna siku nliona anatoka chumbani kwa kaka na dera chukuchuku wifi wifi tunakupenda kua makini usije bebewa mazima
Ila kaka Mjep 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Marahabaa my wizooo mzima wewe😘

Huyo kaka yako alinikimbia akaenda kwa Anntonia now kabaki kuwa boss wangu na kibanda cha vocha alikigawaa
Nasema uongo boss Mjep
 
Back
Top Bottom