Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Na kwako pia jiraniAsubuhi njema wadau
Natumai umeamka vema jirani yangu
Na kwako pia jiraniAsubuhi njema wadau
Hata msijariiiiii,That's good News kipenzi kila la kheri!!!Usitusahau vochaa selfikaaa!!






Salama kabisa jirani, hofu kwako..Na kwako pia jirani
Natumai umeamka vema jirani yangu
Naomba Selfiii ya pozi shoss akee sijakuona loongiiii ujueee sikuhizi umetingwaje shoss akee!
Huku kwema jirani, tunapambanaSalama kabisa jirani, hofu kwako..
Asanteee jirani nakwako piaa!! ✌️Asubuhi njema wadau..
Sawa jirani. Uwe na baraka tele..Huku kwema jirani, tunapambana
Asante jirani, uwe na siku njema..Asanteee jirani nakwako piaa!! ✌️
Basi Fureshhhhhh shoss angu usisahau sasa!!✌️✌️Baadae nikumbusheeee, tena ntakuitaaa haswaaaa,
Mic u mnooooo,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wabheja sana Jirani!✌️✌️Asante jirani, uwe na siku njema..
Amen jirani yangu, ubarikiwe nawe.Sawa jirani. Uwe na baraka tele..
Sawa jirani...muda wa kula mihogo na pilipili atapita humu..Amen jirani yangu, ubarikiwe nawe.
Ukimuona shoga angu popote msalimie, amekua adimu
Nimetingwaaaa na lifeee, liko ngumu mnooo.Naomba Selfiii ya pozi shoss akee sijakuona loongiiii ujueee sikuhizi umetingwaje shoss akee!
Sisahau miee.Basi Fureshhhhhh shoss angu usisahau sasa!!![]()





Nakuaminia Jembee sema najua itakua usiku sana tatizo shoss akee ukipotea kuja kuonekana sio leooo!!!