Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
utaninulnuia kashata za nazi basiNina hela ya kununua cassava tu
utaninulnuia kashata za nazi basiNina hela ya kununua cassava tu
Nimewapenda hawa watoto venye wako na vibe la ukweli😍
Poleni jirani....Jana nyumbani haukumaliza hata dk 20 ukarudi…
Sasa hivi ofisini washakata 🤣
Generator linatupigia kelele tu sahivi..
Hzo ni 200 tu nitakununuliautaninulnuia kashata za nazi basi
Mpige picha nikumuona nakupa mbinu za medaniWakuu nimepanda mwendokasi, mbezi-kivukoni, kuna mdada pembeni yangu..Mungu nisaidie nisiwe na tamaa[emoji1787] mdada ni mtam huyu, sema kwa udomo zege huu..mmmh!
ninunulie za buku mbiiliHzo ni 200 tu nitakununulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo watumiaji wa infiniee na tecnieee kazi tunayo. LolTunaotumia inifinix tunaruhusiwa kuchart humu [emoji856][emoji856]
Dogo usinitie majaribuni nikaumbuka bure!!Mpige picha nikumuona nakupa mbinu za medani
Fanya hvyo mdogo ulale vizur LeoDogo usinitie majaribuni nikaumbuka bure!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nina jezi ya AL HILAL mtapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo watumiaji wa infiniee na tecnieee kazi tunayo. Lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ww binti una tumbo au kitambi zote hzo unakula ww [emoji34][emoji34][emoji34]ninunulie za buku mbiili
nampa na baby wangu 😂Ww binti una tumbo au kitambi zote hzo unakula ww [emoji34][emoji34][emoji34]
Aloo..huku kuzuri.Miss you too kipenzi changu [emoji3590]
Aisee jimbo lipo wazi au niendelee kupambanaMiss you too kipenzi changu [emoji3590]
Mabinti kama hawa wapo wachache Tanzania hii umependeza sanaMiss you too kipenzi changu [emoji3590]
Ushindwe nitokeee hapa [emoji34][emoji34][emoji34]nampa na baby wangu [emoji23]
5 za ufuta tano za nazi
nina food craving kama mama K
Kumbe ni mdogo wangu kbsa any way gentleman on pointNilishashuka mkuu, niache dogo tamaa mbaya. Leo nafanya utalii kidogo, huku kuna kuku wa kienyeji wa kutosha.View attachment 2361397
hahha tununulie 😊Ushindwe nitokeee hapa [emoji34][emoji34][emoji34]