Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Unafiki sio mzuri kabisa 🤣🤣🤣Nataka kujifunza kuwa mnafki 😂
Hautaenda Mbinguni
Unafiki sio mzuri kabisa 🤣🤣🤣Nataka kujifunza kuwa mnafki 😂
Ww ndyo shemeji wa ukweli sasa una roho ya kizungu nenda Kwanza marekani ukirud jioni boss utatuma vocha tajir mwenye hisa NBC



hunitaki mema kabisaa hii mbinu yako naomba ife tafadhali..Na kwanini hupendi mboga za majani?Kuna pahali nimekamatwa hapa
Nimeambiwa hamna kusimama hadi kisosi chenye mboga za majani kiishe 😭
Zinaninyongaaaa
Lenie
Kuwa na madada wakali aisee jau tu 🥲🥲🥲🥲
Jamaa uko cool sana yaaniMimi sina mbinu yoyote mkuu

Na we una act ukali?Na kwanini hupendi mboga za majani?
Haujui hizo ni muhimu kwa afya yako
Tena wakubane hivyo hivyo hadi uzile zote uzimalize
Ndio lazima niwe mkali, si najali afya yakoNa we una act ukali?
😂😂
Imagine ni mboga mchemsho 😭
Baadae madam nitakuitaMr voucha nina kipindi jamane ulisema nisitoke nikakuthubiriaaa weeeee🤔! naona kipindi kishafikaaa!!
See you later wapendwaa enjoy your chating!
Much love and respect ✌️😘
Antonnia
😂 😂 😂Naona mnagombania ujirani 😂😂😂 nyieee watu wa3
Sijambo dasa yangu mzuri 😊😊 salimia nyumbaniKaka nakusalimiaa hamjambo hukoo 👋
Karibu mzungu wetuKaka nakusalimiaa hamjambo hukoo 👋
@mawardat kama mawardat yupoooo.Jukwaa limechangamka yaani mekuwa mgeni sijui wale wakongwe kina Antonnia Mjep Mshana Jr cocastic Depal mawardat Saint Anne Shimba ya Buyenze na wakongwe wote bado mpo.
ooh pole🙂🙂🙂 Nimewaacha nyumbani hata sijui wanaendeleaje dah! nimehamia mkoa mwingine
We Know Water is
Drinking Water at the
1 Glass of Water 
helps to
1 Glass of Water
1 Glass of Water
- helps
1 Glass of Water
avoids Sawa nakutazama tuuu 🙂🙂🙂Hahah... watu na mbunuuu zaoo ausiooo!!!✌️✌️!
Naona umeninunia mjombaaaa! Jamaniiiiii nitaiweka wapi sura yangu mjombaa wangu ukininunia mimi??? Nimalizie pindi hapa mjomba nakuja kukupa unachotaka mjomba wangu Africa ulaya Asia na Antarctica wote wanajuaa! Au ushathuthaSawa nakutazama tuuu![]()









🕺🕺🕺 Nataka cha Africah Shangazi.. Nimekaa kabisa hapa nasubiriNaona umeninunia mjombaaaa! Jamaniiiiii nitaiweka wapi sura yangu mjombaa wangu ukininunia mimi??? Nimalizie pindi hapa mjomba nakuja kukupa unachotaka mjomba wangu Africa ulaya Asia na Antarctica au ushathutha??![]()
Thauuwaaathauwaaaaa mjomba Asavali umefurahi mjomba wangu nimekua na amanii!! Mungu athema tupendane si ndio mjomba?? Hebu nionepo uchebe unaotabasamu kwanza niamini kama kweli hujanuna mjomba wangu niwekee dakika sifuri huku namalizia pindi Jomba akee!!😍🕺🕺🕺 Nataka cha Africah Shangazi.. Nimekaa kabisa hapa nasubiriView attachment 2363582