Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weraaa weraaa [emoji298][emoji91][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323]fitina za Atoto zimeshindwaaaa... Zimechukuliwa na upepo wa kisulisuliiiii.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena bila daliliiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109][emoji117][emoji109]
Ongeza sauti asikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa haujanijibu, ni kweli unafanya mochwari?
 
Visiwa vya karafuu hii...

IMG_20191108_165453_5.jpg
 
Kipindi nasoma chuo, vile vitanda vya deka tulikuwa tunalala watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana tulivyo wembamba hatukuona haja ya kulipia vitanda vitatu kimoja tuu kilikuwa kinatosha.

Nimekumbuka mbali sana, na tulivo wembamba sasa, usiku ukigeuka tuu mifupa ya mwenzako inakuumiza. Yaani kama umalalia magogo vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mifupa tu inagongana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli hebu fyatua mdogo wangu. Dada nipo nitakusaidia kulea.
Sio wachaga wote hunenepa bila mpangilio, wapi visu hatari, nawe ni mmoja wao[emoji7][emoji7][emoji7]
Dada acha kunijaza kichwa nije ninenepe huku juu kama baunsa[emoji23][emoji23] sitakusamehe haki.
 
Back
Top Bottom