Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Na mimi nataka kujaribu Nkamu..
Nkamu baada ya kutokunywa muda mrefu jana nikaamua kunywa hiyo haina maajabu ipo kama maziwa mimi nimeipenda.
Ila wewe usinywe endelea kuwa mtoto mzuri
Niongeze mwili.
Nkamu wetu mrembo,nimependa magoti yako😍..Umenimotivate kuyascrub ya kwangu.




