ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,441
- 119,015
Haha, sawa braza..Kumbe ni mdogo wangu kbsa any way gentleman on point
Ukiwa mdogo huwa rahisi kujifanyisha mkubwa, subiri ukubwa uje, kila ukiulizwa umri unasita kujibu

Haha, sawa braza..Kumbe ni mdogo wangu kbsa any way gentleman on point

haya toa dislike 😕Ushindwe nitokeee hapa![]()
mwambie huyo aeleweHaha, sawa braza..
Ukiwa mdogo huwa rahisi kujifanyisha mkubwa, subiri ukubwa uje, kila ukiulizwa umri unasita kujibu![]()
Nina jezi ya AL HILAL mtapata tabu sana







wakomesheeeeee utopwiseeeee. Msumbufu tu huyu, akitoka hapa atakuja kwa uzi wa gunners kuleta usumbufu wakemwambie huyo aelewe

ndugu yako huyo mzoeeMsumbufu tu huyu, akitoka hapa atakuja kwa uzi wa gunners kuleta usumbufu wake![]()
🤣 Cocastic coola wa INIFINIKSI S5Rumaiya dyadyaaaaa sijakuonaaa hebu rudiaaaaa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kumbe ndugu yangu, aache ukorofi basi manake sie wapole sana!ndugu yako huyo mzoee
ni mtundu haswaa
hongereni Arsenal , mpo vyema
yeah tena msabato piaKumbe ndugu yangu, aache ukorofi basi manake sie wapole sana!
Haswaaaaaaaaa, tena fakee.Cocastic coola wa INIFINIKSI S5







Coca mdogo angu upo nitupie?Rumaiya dyadyaaaaa sijakuonaaa hebu rudiaaaaa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Duh🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jana nyumbani haukumaliza hata dk 20 ukarudi…
Sasa hivi ofisini washakata 🤣
Generator linatupigia kelele tu sahivi..
Hebu toa hiyo emoj itakukaba.Nilishashuka mkuu, niache dogo tamaa mbaya. Leo nafanya utalii kidogo, huku kuna kuku wa kienyeji wa kutosha.View attachment 2361397