myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
SafiiiiVacation
mambo ninayoyapenda![]()
SafiiiiVacation
mambo ninayoyapenda![]()
Niliyempa nini?Unaringa, uliempa usimteme
Wimbo mzuriUmeahidi wewe Bwana huniachi Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote(hubadiliki) Mimi naiweka Imani yangu kwako
😂😂😂😂Good morning Saint Anne
wamebinya leo mkononi ila kikubw nimepata seat 😂😂
Na wewe Selfika Bina.
AmenWimbo mzuri
Umebeba ujumbe mzuri wa kutia moyo
Yeye Mungu hatuachi,nyakati zote hatuachi.Amen
mzuri sana
tuweke tumaini kwa Mungu tu
hahaha😂😂😂😂
Kikubwa wasikuanikie tu usoni kwapa linalonuka
😂😂😂😂😂😂hahaha
wanaume wana nguvu jamani
ukipambana nao lazima uumie
mimi siwezi kuruka na kupanda haraka .
Incredible GodYeye Mungu hatuachi,nyakati zote hatuachi.
Yeye ni mwaminifu,atatuvusha katika yote.
nagombaniaga sema last week nilikuwa napata kalift basi nikasahau mambo hayo😂😂😂😂😂😂
Unapambana hivyohivyo..
Mimi na kimwili changu kidogo kidogo yaani nikipandia inapoanzia daladala nahakikisha sikosi seat..Napenya🤣
Lift ikakusahaulisha tabu😂😂😂😂nagombaniaga sema last week nilikuwa napata kalift basi nikasahau mambo hayo
huku wanapiga vipepsi sio poa
HakikaIncredible God
hajawahi kushindwa na jambo
hahha kweli dearLift ikakusahaulisha tabu😂😂😂😂
Kwenye kugombania lolote huwa linatokea🤣,usiombe uwe umevaa wigi kichwani.
Amen , sifa na utukufu kwake aliyeziumba mbingu na nchi .Hakika
Nimemuona Bwana usiku wa Leo.
Adui Alitaka alete vita akashindwa..
Nguvu za Mungu sanasana hujidhihirisha kwenye scenario kama hizi.
Nkamu huyoo
Umependeza mnyakyusa wetu mweupe
Naomba kawime![]()


Hongera nkamu
Enjoy your vacation
Shikamo JF...!,![]()
ndo yeye huyooo!mrembo sanaaa!zaidi ya sanaaaa!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app


