Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mimi nataka kujaribu Nkamu..
Niongeze mwili.

Nkamu wetu mrembo,nimependa magoti yako..Umenimotivate kuyascrub ya kwangu.

Nkamu kama inaongeza mwili basi niiache maana nimepamaba sana kufika hapo

vipi nyayo unaendeleaje?

Magoti huna haja ya kuyascrub kikubwa ukiwa unapaka mafuta yakunje na usilale bila kuyapaka mafuta ya maji
 
Nyayo zilivyolainika kidogo nikaacha..Sasahivi nimeanza tena.

Ngoja nianze operesheni komboa magoti.

Nilisikia humu wanasema pombe zinaongeza mwili.
Ila umepunguza mwili umenoga Nkamu.
 
raraa reree Lizzy Post M-alone 🤠🤠🤠 haraka haraka unakuja toa boko.. Inabidi kwenda mgahawani.. Baada ya kupaisha penati
IMG_20220919_151254.jpg
IMG_20220919_152612.jpg
 
Back
Top Bottom