Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,922
- 147,716
Kanituma nikuulize,eti vocha ya aina gani??Ww mzee unanigandisha nasubir vocha
Kanituma nikuulize,eti vocha ya aina gani??Ww mzee unanigandisha nasubir vocha
[emoji2815][emoji1435]Poa mrembo
Nimetupia selfie [emoji28]
😀😀😀 Hii ya mwisho sitorudia tena, nakumbuka nilisha kaa miaka miwili, Siku nilipo jichanganya hadi nikabaki najiuliza ni mie huyu au naota.. But sasa hivi nime dhamiria 100%.. Sasa hivi nimekuwa kabisa usher wa kanisa flani asubuhi tu unanikuta nasafisha vyoo, ili Mungu anitie nguvu ya kushikilia hapo hapoNi swala la mda tu, kurudi kwako kutakuwa kwa kishindo🤣🤣, usije kuparamia dada zetu tu haha!!
Watu wataka vocha banaaa.. Ebu usiturushe mtaalamuPoa mrembo
Nimetupia selfie 😅
Selfie yangu huitaki boss mkubwa?[emoji2815][emoji1435]
Tuselfike kwanza mkuuWatu wataka vocha banaaa.. Ebu usiturushe mtaalamu
Hongera, kama vipi vita jiko ule kwa uhuru na haki kikatiba.[emoji3][emoji3][emoji3] Hii ya mwisho sitorudia tena, nakumbuka nilisha kaa miaka miwili, Siku nilipo jichanganya hadi nikabaki najiuliza ni mie huyu au naota.. But sasa hivi nime dhamiria 100%.. Sasa hivi nimekuwa kabisa usher wa kanisa flani asubuhi tu unanikuta nasafisha vyoo, ili Mungu anitie nguvu ya kushikilia hapo hapo
Miwani imepasuka hivyo sioni mie[emoji23]Selfie yangu huitaki boss mkubwa?
Muone kichwa😅😅😅Mjep naomba vocha ninywe dawa zangu[emoji23]View attachment 2361661
🤠🤠🤠 Dah! Jiko tena, msala huoHongera, kama vipi vita jiko ule kwa uhuru na haki kikatiba.
Halotel natumia shemejiKanituma nikuulize,eti vocha ya aina gani??
🙄🙄Mdogo wangu Unaendeleaje Lenie 😂😂
Mzab wala hana swaga[emoji1435]Muone kichwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Nitamuita mazab zab hapa
Kaka mkubwa mzabzab tunasimangwa hapa kakaMzab wala hana swaga[emoji1435]
Yeye sasa ananiogopa mie[emoji123]
Huyu Mjep ana nyota ya kimahaba nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww boss Mjep