Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi kwann ukipost kitu kama unatumia inifinix na tecno humu JF ndyo zinaonekana kwamba huyu anatumia hii simu sijapenda bora mm natumia pc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba infinix na Tecno zina nn? Watu tunatamba nazo, na hatujari wala nn.

Nilishashindwa kutumia JF kwenye PC. naserereka na infinieeee angu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Niache nipo busy huku Sudan nasikia utopolo hawana raha kunanini
Kwamba timu kubwa zinaanzia ugenini ila huyu Mama wa kambo ndyo anaanza kwa mkapa Mama jeni bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba infinix na Tecno zina nn? Watu tunatamba nazo, na hatujari wala nn.

Nilishashindwa kutumia JF kwenye PC. naserereka na infinieeee angu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ilikuwa inanikera balaa watu wapo kwenye iphone 14 sisi wanatuandikia Infinix zetu majukwaani😂😂
 
Back
Top Bottom