Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
utaizoea tu kdogoImekubali ntaenda nayo mdogomdogo
mimi siendi hata nyuzi nyingine e
utaizoea tu kdogoImekubali ntaenda nayo mdogomdogo
Sio kitambi ni love bubble Anko wako ndo kitu favourite icho usitaje Kwa nguvu😂😂😂Mm nakumbuka kitambi na komwe tu![]()
PoleniIlikuwa inanikera balaa watu wapo kwenye iphone 14 sisi wanatuandikia Infinix zetu majukwaani![]()
Aunt mimi nasubiri kwa hamu hapaNijipost au mnanikumbuka😂😂😂
Nianze na kitambi au komwe 😂😂😂🤣Aunt mimi nasubiri kwa hamu hapa
Na tayari nishakusahau maana umetususa sana
Aisee kweli umekamatika haya jipost tushakusahauSio kitambi ni love bubble Anko wako ndo kitu favourite icho usitaje Kwa nguvu![]()



kwamba infinix na Tecno zina nn? Watu tunatamba nazo, na hatujari wala nn.
Nilishashindwa kutumia JF kwenye PC. naserereka na infinieeee angu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app


za midaOky dia![]()
Si juzi ulipost picha upo kwenye madubwasha gani sijui.Kwahiyo mimi jambazi?
Mbayaza mida
kisa ?Mbaya
Hapo ndo napata ugali wangu sio madubwasha hayo. Inaitwa Mill, kinu cha ku grind ore ya dhahabu.Si juzi ulipost picha upo kwenye madubwasha gani sijui.
Nitumie vocha nikupigiekisa ?
pole

Zile lips za dhahabu auntNianze na kitambi au komwe 😂😂😂🤣
nishajifungia ndaniNitumie vocha nikupigie![]()
Unaogopa panya roadnishajifungia ndani
😂😂😂Kwan tatizo kitambi bas tatizo 😂😂😂Mdomo komaAisee kweli umekamatika haya jipost tushakusahau![]()
usiku huu kutembea si poaUnaogopa panya road
Kumbe pisi kama kali