B yuko sahihi kutosema, na A hayuko sahihi kukata urafiki. Unless iwe vinginevyo kat ya B na bwana ake A.Nyie naomba niwaulize ,ikitokea mko marafiki A na B mtu ,A Ana bwana ake,akatongoza B Ila akakataa kulinda heshima ya urafiki na hakusema ,chochote pia kuhofia mahusiano yao yasife,then wewe unaendelea na ukaribu wako na wote wawili,at last A akajua kua mpenzi wake anatongoza B,akiambiwa na mtu mwingine kabisaa...
Shoga anavunja urafiki na B ,kisa bwana ake katongoza B hakusema.
Je B alikua sahihi kutosema kua shemeji anamtongoza?Na A Yuko sahihi kukata urafiki pia?
Hebu naomba mawazo yenu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂
[emoji1787]Unatembea, uzuri nilikuwa na bajaji shwaa shwaa.. Ila bila hivyo hata ukitembea una aibika maana unaweza fatwa na nzi [emoji1783][emoji1783]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisonono na Pangusaaa.Embu mselfike loooh,gono kaswende kutishana tu[emoji16]
Looh msukuma weweWiki chache nilikuwa hapo kwa majirani zetu
Jioni nikawa nimetoka kuangalia mji na vilivyomo
Nimezunguka kiasi then nikaona chimbo limenivutia nikasema ngoja niweke kambi
Huenda nikaambulia Tasi au Chewa[emoji1787]
Bhas kidogo ikaingia nguva kali ina tako kama la khumbu[emoji1787][emoji1787]
Ikaja kuketi karibu na nilipo nikaelewa tu huyu yupo mawindoni
Kutest zari imooo tukala tukanywa
Sasa umewadia wakati tukamalizie jioni yetu duh salalee[emoji2297]
Ile manzi anatoa viwalo balaa likaanzia hapo
Room yote ikageuka harufu ya ng'onda nilichofanya ni kubip kwa mwenzangu akapiga
Nikajiongelesha uongo ukweli nikamrejea bibie oyaa ajent anahitaji mzigo usiku huu
Hivyo wewe lala narudi nikamlipa kabisa nikasepa na sikurudi
Kananipa wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kausha[emoji1783][emoji1783][emoji1783] Kwenye ngao ya hisani pia tulipiga bomu mochwari au sio
[emoji1787]Goli 6 Ila hazitambuliki caf labda cuf ya lipumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieee nakufa kwa kucheka, group la class watu wanacharuanaaa balaaaa,Goli 6 Ila hazitambuliki caf labda cuf ya lipumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali kuhusu Mimi Mkuu, miaka 64 niliyonayo Sina Jipya, nimewaachia vijana hizo vurugu 😂Kananipa wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mniacheeeeee nipeti peti penzi langu, nilishakua msingo sugu, sasa mtoto wa mama mkwe kanihurumia, kwann nisishikilieeee???
Mwanaume hazeekiUsijali kuhusu Mimi Mkuu, miaka 64 niliyonayo Sina Jipya, nimewaachia vijana hizo vurugu [emoji23]
Naomba lift nq vochaaa, ntakuwa naperuzi nikiwa ndani ya ndinga.View attachment 2360051
Full tank ya kuendea shambani kesho [emoji618].
Credit Kwa Wajukuu kufanikisha hili [emoji1732][emoji847]
NakupigiaLooh msukuma wewe
Kaba hadi penalty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilegeze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mniacheeeeee nipeti peti penzi langu, nilishakua msingo sugu, sasa mtoto wa mama mkwe kanihurumia, kwann nisishikilieeee???
Weuweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Hadi mpira wa kipa wa kuanzisha, mie nakabaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaba hadi penalty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilegeze
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ka avatar hako hatari [emoji23][emoji23][emoji23] nimeami hadi umechenji basi mambo ni moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi mpira wa kipa wa kuanzisha, mie nakabaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba damu, simba kindaki ndaki.Ka avatar hako hatari [emoji23][emoji23][emoji23] nimeami hadi umechenji basi mambo ni moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Harusi lini sasa [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba damu, simba kindaki ndaki.
Am Simba fan, [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Mambo n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]