tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,842
- 8,266
Katika ubora wako 🔥Imekaa sana legend! Itakua ulikuwa bize. Nilitupia hii
Katika ubora wako 🔥Imekaa sana legend! Itakua ulikuwa bize. Nilitupia hii
Long time no see yaNdiyo namhala. Nikijaza friji basi nasahau...na products zao sio mbaya kwa level ya kati.
Unageuza lini? Kuna kitu nataka kukuomba aisee [emoji1545]
Tuondoke familiaMpaji Mungu usiseme sijakuita
Upo bado?Tuondoke familia
Nipo mpaka nikuoneUpo bado?
😂😂😂 nilikuwa najaribu kuushtua Umaskini ☺️Nimeona ududu hapo mguuuni🔥🔥🔥🔥
Kwenye maisha usijinyime kwenye kula, kulala na kuvaaaa😂😂😂 nilikuwa najaribu kuushtua Umaskini ☺️
Kwa kweli 😅😅Kwenye maisha usijinyime kwenye kula, kulala na kuvaaaa
Naam mwenyekiti 😁
Kimya sana katibu! Nakusamilia in the name of selfika. Do the needful pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!!Naam mwenyekiti 😁
Bado upo😎Nipo lamama itakuwa maisha yamenila kiboga ndomana☺ . Fanya jambo mapema siku yangu iende vyediiii mrembo
Nipo lamama wacha nikae standby nisipepese hata kopeBado upo😎
Ukipata dawa ya kupungua uniambie,Nipo lamama wacha nikae standby nisipepese hata kope
Kilasiku unazidi kunoga tu mremboo! Lipss nene tramuu!!💋 💋Ukipata dawa ya kupungua uniambie,
Thanks mubebee.. haya nibless kabla sijaenda breakfast kabisaa..Kilasiku unazidi kunoga tu mremboo! Lipss nene tramuu!!💋 💋
Hakika siku yangu inaenda kuwa vizuriiii kabisa Santo sana