Selfika na JF: Snap it. Show it

huu wimbo, niliwah snap nao, nkatuma status tsup, watu walifurika kunihoji woiiiiiiih.

Mtoto wa mtu anapendwaaaa.
 
Wiki chache nilikuwa hapo kwa majirani zetu

Jioni nikawa nimetoka kuangalia mji na vilivyomo

Nimezunguka kiasi then nikaona chimbo limenivutia nikasema ngoja niweke kambi

Huenda nikaambulia Tasi au Chewa


Bhas kidogo ikaingia nguva kali ina tako kama la khumbu


Ikaja kuketi karibu na nilipo nikaelewa tu huyu yupo mawindoni

Kutest zari imooo tukala tukanywa

Sasa umewadia wakati tukamalizie jioni yetu duh salalee


Ile manzi anatoa viwalo balaa likaanzia hapo

Room yote ikageuka harufu ya ng'onda nilichofanya ni kubip kwa mwenzangu akapiga

Nikajiongelesha uongo ukweli nikamrejea bibie oyaa ajent anahitaji mzigo usiku huu

Hivyo wewe lala narudi nikamlipa kabisa nikasepa na sikurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…