Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,779
- 182,925
Jamani jamani, natoka kazini mimi[emoji134]Hahhaa anaenda outing huyo
Jamani jamani, natoka kazini mimi[emoji134]Hahhaa anaenda outing huyo
Muda utatoka wapi kama wote ni ma breadwinner HS? Ili niweze kuwa na muda nae inabidi nikae nyumbani aniletee chakula, sasa saa 12 tunatoka nyumbani wote, nikitoka kazini hadi nifike nyumbani ni saa mbili kasoro. Tukifika yeye ananyooka kulala mimi naingia jikoni kupika.Nasikia siku hizi mnaitwa "wanawake msio na muda na waume zenu" teh
Hi 🖖Hello te
[emoji57][emoji57][emoji57] nimekununia.Nimekosea wapi we mdada?
Nakuja mimi jamaniHahaha;
Njoo nikuhesabie miguu ya kitalu
Ulime mchicha.
Najua maana hata vyupi havibani tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sasa wewe ukikonda unajuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisa cha kuninunia?[emoji57][emoji57][emoji57] nimekununia.
Kweli? Kama mara ngapi? Moja tuu au mbili?subiri ukishusha injini utanenepa
HahahahahahaSadaka za Leo wapi Dada Leo ijumaa [emoji23]
Utakuwa kijumbe wewe [emoji126]
Dear hata usitamani kunenepa.Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
Kuanzia waniamini mimi jamaniUmekuwa mhazini kuanzia lini?
Pampula.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1257800
Hongera.Wewe una mwili kama wangu. Ukigoma kunenepa umegoma; ukiamua kufutuka hata niwe nina mfungo wa months unafutuka tu. Siku hizi nimeuacha tu unifanye unavyojisikia
Wewe furahi tuu jamaniIjumaa Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126]
Babe huwa hakusemi? [emoji23][emoji23][emoji23] maana wanaume siku hizi bhana hawana haya, utasikia hivi mbona wewe haunenepi, umemeza malboro nini[emoji23][emoji23]Eeeh kisa cha kujichosha; sina habari nao
Hii chuma ya kaunta mbona kama mtambo wa "tetenasi"
Haya hebu tafuta bar maid mmoja hapo weka ndani maisha yaendelee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua maana hata vyupi havibani tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu acha dharau, eti nikikonda najuaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Aah wapi 😂😂Hahahahahaha
Waimba kwaya twaenda kila siku