Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_9958.JPG
 
Daah basi kweli miili inatofautiana yaani mimi hata sijui nifanye nini ndiyo nitakonda..kwani wewe unatamani kunenepa??
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii
 
Back
Top Bottom