Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Friday📷
20220916_084930.jpg
 
Nqona tu vumbi 🤣


Weee huku hamna feki,, labda huko wanaume wa Dar wana produce Kilimanjaro feki hapo Magomeni..
Safisha macho vizuri au njaa ya asbuhi inaathiri macho hayaoni 😂

Yaani k'njaro zingine ukinywa nusu badae ukija kucheki chupa imeweka kama mvuke na ladha mbayaa.
Kwa huku bora ninywe Hill water yana ladha nzuri
 
Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...

Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .

Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.

Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.

Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini

Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.

Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua
 
Jamani nina swaliii

Mkishiba chai mje tujadili..


Qn: wanaume unakuta ana wanawake wa3, anawamiliki wote … katika kuwamiliki hao anakuwa anachagua yupi atatangazwa msikitiki ama Kanisani.

Ila mwanamke akifanya jambo kama hilo alilofanya Mwanaume ye jamii inamuona sio mtulivu ati ni ka malaya 😂😂
Kwahiyo mwanamke ye hana chaguzi zake?
Kwahiyo mwanamke hatakiwi kuwa na wanaume wake wawili awachunguuuze ndio ampate Mr. right wake?

Mjee Mseme both Me & Ke
 
Back
Top Bottom