Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Unaturingishia ehh Ntiluseswa njoo hapaNiwacheeeeeeeeeh kwan, kuna mtu alikua ananiimbia "simuachi" by Jux.
Weuweeeeeeeeeee!!! Kupendwaaaaaa rahaaaa afu ile ya dhati sasa, had mwenyewe naogopa na kujistukia.
Utasikia "uko na mimi wee kuwa huru na kuwa utakavyo tunaishi mara 1 tyuuuh". Nyieeeee mniacheeeeeee mie hizo sio shida zanguuu.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca amuniachia mimi ubuyu
Ameniambia mkiamka niwape ila kwa roho mbaya niliyonayo nitawaletea kuanzia saa 6 usiku[emoji23]
habari NduguAiseee
We Coca hebu achana na commentz za Jana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee shost hilo limama lipo hapahapaa sekfikaaa????? Tunachat nalooo tunacheka naloooo kila leooo??? Mbona hatareeeeeeee!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
Harafu jukumu la kupenda liko kwa mwanaume sio kwa mwanamke kwanza kupenda ni nini kupenda mtu ni kutenda mema pasipo kutarajia chochote kutoka kwa mtendewa ukiwa unampenda mtu haitakiwi utarajie chochote kutoka kwake mwanaume anatarajia ridhaa tu kutoka kwa mwanamke sio chochoteNini tukifanya kinatibua furaha zenu?
Usiombe Uwe na mahusiano na mtu anayetumia tecno afu awe msukuma au muha sasa utajuta [emoji26][emoji26][emoji26]Mnatuchukuliaje watu wa Tecno jamani[emoji23][emoji174]
Infinix wamama?akiyanani.. Kumbe nilikuwa mama.
Ila katika simu zote,Itel hata bure sichukui.
🙊🙊🙊 nimeumbuka live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
🙊🙊🙊 nimeumbuka live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
Na anasauti tamu huwezi amini kama sio msukuma vileHivi Kawige huwa kanaongeaje?
Sikapatii picha sauti yake ya kusukuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha ukorofi jiraniQueen kisauti [emoji1787]
Bontel wanatumia housegirlMbona Bontel hujatuweka [emoji1783][emoji1783]
Violence 🤣🤣Hautulii kwenye mahusiano ndyo maana upo kwa National Anthem mara Mjep
👍👍Hapo kwanza inatakiwa ujue no one is perfect as unamuona John chapombe ila wewe hujioni kama ni mvivu au una tabia zingine za ajabu.
Navyoona ni vema ukawa na yule ambaye changamoto zake unaweza kuzibeba mkakaa mkaongea kila mtu akamuweka wazi mwenzake madhaifu yake then maisha yanasonga.
Maana tukisema tutafute yule ambaye ni full package (tall, dark, handsome, romantic, ananukia vizuri 😛 bila kusahau acc imetuna hana stress za tozo😅) alooo utajikuta kila mtu unamuona hafai sasa mwisho wa siku unaamua tu liwalo na liwe.
Usiondoke kwanza[emoji87][emoji87][emoji87] nimeumbuka live
Naondoka huku nikiweweseka kiwenda wazimu....[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu kanikatazaaa umbea, cha ajabu sasa umbea unanifata wenyewee na una nitiiiii.cocastic shoss akee naona umenidindiaaaaaaaaaa!! Nimesubiria ubuyu mpaka basiiiiii naenda kurara mieeee!!
Uwe na Usiku mwema shoste akee[emoji3577][emoji3577]!!
Saint Anne na wapendwa Wengine pia enjoy your time [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca hafai
Nokia tuko wapiBontel wanatumia housegirl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tenaaaaaaah haswaaaaaah!!!!!Bange zimelipuka kwa mwanadamu wa hovyo