Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2357835
Siku moja moja sio mbaya unakutana na Wazee wenzako mnakula stori kama hivi kukumbukia Enzi.

Anza kujizoesha hili mapema ili ukifika umri wa Uzee kama wangu usipate shida ya upweke wakati huo Bibi anakuwa amekwenda kusalimia Wajukuu zake DSM 🙆

Hello Wednesday 🤗
Mbona hapo pametuna? Umeficha nn babu
 
🤠🤠🤠🤠 Bora hujaniamsha ninge 😵😵😵
I knoww 😁😁

Lunch.....?
20220915_142658.jpg
 
Mnajifanya wambea kumbe mna mashost wanafki 😂😂😂😂
Saiko yenu inasikitishaaa
Eti nyie ni chawa mnaochawiana 😂😂😂


Mshua was here bana
Kazi ziendelee
Msalimie mwanetu Carlos

Hii saa 7 na 8 kazi lazima iishe
Wewe usinichonje na kuchat wakati natakiwa kubizika 🏃‍♀️
Sema wa kishua usitupige madongo namna hii😂😂

Carlos atakua busy kwenye ujenzi wa taifa

Umesharudi toka kule ulikoenda?
 
Sema wa kishua usitupige madongo namna hii😂😂

Carlos atakua busy kwenye ujenzi wa taifa

Umesharudi toka kule ulikoenda?
😂😂😂 kwendeni huko madebe yaso na kitu


Aendelee kumjengea babe ake

Nimerudiii
Nikaenda na village kutii haja ya moyo wangu…
 
Niwie radhi Mjukuu, next time zikitoka nitahikisha zinakufikia. Hizi za Juzi niibiwa pale Tabata alikopotelea yule Diwani wa Kawe 🙈🏃🏃🏃
Kwahiyo babu nawe unaendaga kufichwa Tabata? Tena si ajabu ni pale Tabata Bima wenyewe wanapaita Tabata Baima 🥹 pakakubamizia hadi bajeti ya wajukuu
 
Back
Top Bottom