Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unazooo
Usingepata nguvu hata za kusogea mlangoni pale 😃
Mnaogopa jina au? Village wana korosho makini sana, wameroast na chumvi na pilipili…

Bakery ndio balaa

Awee mchawi pesa 😂😂
Hata niwe na twenti, village naingia maana najua sikosi kitu bakery
 
Mnaogopa jina au? Village wana korosho makini sana, wameroast na chumvi na pilipili…

Bakery ndio balaa

Awee mchawi pesa 😂😂
Hata niwe na twenti, village naingia maana najua sikosi kitu bakery
Raha jipe mwenyewe didi ake

Bakery yao sijawahi kuingia
 
He heee babu we mbona unataka kuwa kama wale ma babu wa twitter na vijana wao 🥹
Mimi niliingizwa Mjini tu baada ya yeye kusema eti ana kontena la Mawigi kutoka China limekwama bandarini kwahiyo nimpush Kwa kumpa pension yangu, kwahiyo nitakuwa naoga na kulala kwake huku akinitafutia Hela yangu..........

Kuna watu wanadhambi Mjukuu 🤪
 
Screenshot_20220915_152630_com.instagram.android_edit_81642024767749.jpg
 
Back
Top Bottom