Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kata rufaa kwa max wakirudishie I'd yako uliyoijenga miaka mingi kwa jasho na damu[emoji28]

Hata Lenie Depal na Saint Anne hawapaswi kubadili majina maana I'd zao ni maarufu sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Weeehhh Im happy with Tonniah kwanza Misri nishatokaaa I'm a born again person sikati hekaheka na Mahondaw wao!! hahah
Tuendelee kuselfika Mkuu
 
Nimesoma aya kwa 1 na 2 kwanza ebu nicheke mie bwahaahaha ! Nilionaa unavotaka kuingiaa nilionaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

cocastic ashasemaga hakuna id mpyaa humu wee ingia kichwa kichwa ujichanganyeeeee;!
Mie mbona niliwa alert watu humu kabisaaa kuhusu hilo
Namalizia kusomaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Aseee uliniweza sn[emoji28][emoji28]

Nikasema Leo kabwela Mungu ameniona Kumbe.......

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
"Mwenye mji wake humuu"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
Nacheka kama Chizi ujueee!!! Hukujua kama ni kikongwe aliekubuhu kabisa jf anijua vilivooooooo watu wote anawajua kuliko wamjuavyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] !!!
Naendelea kusoma [emoji2960][emoji2960]
Hapa unakamilika ule msemo maisha Ni Safari na ajali huwa zinatokea[emoji28][emoji28]

Ile ilikuwa bonge la ajali

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
"Mwenye mji wake humuu"🤣🤣🤣🤣😂😂!!
Nacheka kama Chizi ujueee!!! Hukujua kama ni kikongwe aliekubuhu kabisa jf anijua vilivooooooo watu wote anawajua kuliko wamjuavyoooo🤣🤣🤣🤣🤣 !!!
Naendelea kusoma 🤭🤭
Eti kikongwe🤣🤣🤣
Ila Madame umejiunga zamani , kipindi wengi wetu humu badi tunafuta kamasi 😂😂😂😂

Ila Cha ajabu unakuta tupo kufight na le boss leidee..dunia haina adabu.
 
Wee usnambie id yangu ni famous humu[emoji23][emoji23]
Sanaa

Famous kiasi kwamba Ukiwa unatype tu hata avatar yako mtu anajua lenie is typing...

Ila mdogo wako Depal anabadili Sana avatar km National Anthem Ni ngumu kutambua akiwa anatype ila I'd yake ni maarufu km yako

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom