Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks Mjukuu

Msuli huwa unanikaa vyema sana hasa nikiwa nimekaa Kibalazani na wakati mwingine nikiwa shambani nalima.
Thanks Mjukuu

Msuli huwa unanikaa vyema sana hasa nikiwa nimekaa Kibalazani na wakati mwingine nikiwa shambani nalima.
sasa msuli kwahilo pozi utauaaaaaa vibee babuuu weka mbali na watrootroo😉😉!!🤭
 
Nilikwenda Ile mitaa baada ya Pension yangu kutoka pamoja na kupata hela yangu niliyouza Mazao.

Kilichomkuta Mhe. Diwani na Mimi kilinitokea 🙆
He heee babu we mbona unataka kuwa kama wale ma babu wa twitter na vijana wao 🥹
 
Back
Top Bottom