Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Ahahahha umenikumbusha Hadith ya sungura baada ya kuzirukia ndizi bila mafanikio akaamua kusrma sizitaki mbichi hizi..Weeehhh Im happy with Tonniah kwanza Misri nishatokaaa I'm a born again person sikati hekaheka na Mahondaw wao!! hahah
Tuendelee kuselfika Mkuu
Yes,ya kale yamepita tuselfika,lunch time sasa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


