Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo ndio tuna rudi kwa love is blind but not ujinga my dear..

Unampenda mtu
Anakukorofishaa balaa ila 7bu ya upendo wako kwake, unakuwa unachukulia poa.


Mimi nilishaachika huko zaman
Nikalia week karibia 8 😂😂

Nikafuta macho

Naendelea zangu kuumwagilia moyo na mapendo kwa anaendelea kupendana nami
sahihi dear
week 8 nyingi pole aisee
yah ukimove on unaendelea na mwingine
 
Waanapochujwa ile form 3 wanaochukua Wayansi automatic ni majembe!
Kabisa.

Sisi ile form 3 watu walikuwa wanachagua Kwa kwenda.
Ila ndio ukichelewa unaakutwa umeppangwa popote.


Picha limeanza umepangwa sehemu hutaki😂Yule mtaaluma alitandika watoto wa watu Hadi alichoka..hawataki kwenda biashara Wala sayansi🤣
 
Hamjui tu watu tunamiss nini🤣
Futa kwenye kichwa hizo memory mlizo kuwa mna enjoy.. Weka file lingine.. Maisha yasonge.. Usiweke mwanadamu moyoni huku hana guarantee.. Weka Mungu kwa huo moyo alafu Mungu ndio ataweka hiyo kichaa yako unayo sema unaipendaa.. Unakuwa na upendo unaopitia moyo wa Mungu, mwehu akizingua huguswi na pain yoyote, maumivu yanaishai kwa alie connecy moyo direct 🤠🤠
 
Ewaaa.. Unaweza lazimisha ukaletewa na ukimwi ndani 🤠🤠🤠 ebu tumieni akili vizuri, sio mzitumie kuchagia nguo nzuri tu na sio maamuzi mazuri, emotions alizo wapa Mungu ni kwa ajiri ya kumuimbia na kumsifu huku machozi ya uwepo yakiwatoka, sio. Machozi ya kumlilia abdalaaa acheni huo ujinga 🤠🤠🤠
Hili somo la muhimu sana, natumai shoga angu Depal atapita hapa apate kujifunza
 
Back
Top Bottom