Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
😂😂😂 unakizabua makofi na unacharaza fimbo kabisaKimtu unakuta kinalia ng'wee ng'wee kama mbwaaa, kisa kimeacha, yani kama nipo karibu nakuzabua kabisa
😂😂😂 unakizabua makofi na unacharaza fimbo kabisaKimtu unakuta kinalia ng'wee ng'wee kama mbwaaa, kisa kimeacha, yani kama nipo karibu nakuzabua kabisa
The Bible say.. Renew your mind kwa neno la Mungu na matendo mazuri, sio ma mikunjo na happy moments ndio maana mnaumizwa, mnashindwa memorize mambo yenye faida, manaanza kumbukukia raha za mda mfupi mlizopena shubamiti kabisa 🤠🤠🤠Hapa jamani, ndio mzizi wa fitina umejificha 😂😂
Saint Anne what happened back then hadi antonnia akabadili I'd? Kuna lawama nimezisikia huku alafu kaniangushia jumba bovu mm na weweKumbe Hujui naona Saint Anne ananijua vizuri muulize akupe hio story!!
Siyo tofauti ni kujiendekeza tu umesalitiwa mara ya kwanza oky inauma bado unasalitwa mara ya 6 bado unalia lia tu huko ni kujiendekeza tutumeumbwa tofauti laiti dunia hi iingekuwa na wanaume tupu
sikui ingekuwaje
Eeeh! Inakuwaje mtu unalia mtu mmekutana kutana, sio pacha hamjaziliwa pamoja mtakufa tofauti.. Jifunzeni kushuru kila jambo.😂😂😂 unakizabua makofi na unacharaza fimbo kabisa
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣 nyonyoma jamaniiiiKimtu unakuta kinalia ng'wee ng'wee kama mbwaaa, kisa kimeacha, yani kama nipo karibu nakuzabua kabisa
Hatuwezii 😭😭Eeeh! Inakuwaje mtu unalia mtu mmekutana kutana, sio pacha hamjaziliwa pamoja mtakufa tofauti.. Jifunzeni kushuru kila jambo.
Ng'oombeeee 🤠🤠🤠Hatuwezii 😭😭
Kama umesikia hizo sio shida zanguuuu!! kutaka kujua what happened pia mie naona hayanihusuuuu!! Kila la kheri katika kupata hizo taarifa mkuu hakuna kabayaaa. Enjoy the News!!Saint Anne what happened back then hadi antronia akabadili I'd? Kuna lawama nimezisikia huku alafu kaniangushia jumba bovu mm na wewe

!Aki si umeamua kutuchana makavu live leo 😂The Bible say.. Renew your mind kwa neno la Mungu na matendo mazuri, sio ma mikunjo na happy moments ndio maana mnaumizwa, mnashindwa memorize mambo yenye faida, manaanza kumbukukia raha za mda mfupi mlizopena shubamiti kabisa 🤠🤠🤠
Alivyojaribu tu kubadili Jina,Jina lake likachukuliwa na mtu mwingine😂Saint Anne what happened back then hadi antronia akabadili I'd? Kuna lawama nimezisikia huku alafu kaniangushia jumba bovu mm na wewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤸♂️Siyo tofauti ni kujiendekeza tu umesalitiwa mara ya kwanza oky inauma bado unasalitwa mara ya 6 bado unalia lia tu huko ni kujiendekeza tu
Utaumiza kichwaaa tuuUle uzi wao wa hiyo vita hata huwa sielewi
Maelekezo ni mengi...yaani angetokea mtu anipe summary Kwavoicenote.

😭😭 hujui tu nyonyomaHaikuwa genuine love ndio maana mliachana wapuuzi nyie 🤠🤠 wenye genuine wanapenda toka chekechea hadi wanazeeka na kufa pamoja
😂😂😂😂😂😂Unazinguaaaaa!! Halafu ukute niwewe na Saint Anne mliitamani sana ile Username ya Mahondaw mkataka tembelea nyota yangu bwahahahahahaa!!!!!🤗🤗🤗
Nipo nasikiliza hii story nipunguze maumivu ya kuachwa asubuh asubuhSaint Anne what happened back then hadi antronia akabadili I'd? Kuna lawama nimezisikia huku alafu kaniangushia jumba bovu mm na wewe
Akili ziwakae vizuri, mnakuwa kama kondoo 😒😒😒Aki si umeamua kutuchana makavu live leo 😂
Huwa naona tu oh Putin Piga,sijui mara Marekani imefanyaje