Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Unawakilisha sio 🤣🤣Debe tupu 😭😭😭
Mitano tena kwako
Unawakilisha sio 🤣🤣Debe tupu 😭😭😭
Mdudu kama mdudu 🤣🤣🤣Unawakilisha sio 🤣🤣
Mitano tena kwako
SikuiangaliaMambo za marudi marudio zinaboa
Nyie sio mapenzi, mnakuwa mnadanganyika haraka mkomeee 🤠🤠🤠Na tunachakaaa
Miili, saikolojia mpaka akili 😭😭😭😭
Mtuombee bwana
Wanawake mapenzi yanatunyoosha sana
Vocha nimalala naitolea wapi 😒😒Naunga mkono hoja
National Anthem fanya mambo
Huyo mtoto ni chawaSikuiangalia
Ndio naiangalia mara ya kwanza
Mdudu sipo nyuma pia 🤣🤣🤣🤣🤣Mdudu kama mdudu 🤣🤣🤣
MpesaVocha nimalala naitolea wapi 😒😒
😒😒😒 Haifanyi kaziMpesa
M pesaVocha nimalala naitolea wapi 😒😒
HatukomiNyie sio mapenzi, mnakuwa mnadanganyika haraka mkomeee 🤠🤠🤠
Mtachokaaa sana hadi mnafika 35 hamna tofauti na bibi wa miaka 60.. Wenzenu ambao wamenyooka 35 kama 16Hatukomi
Nasubiri tunda 🤠🤠Depal National Anthem
Kwa leo nimemalizana na mambo ya mapenzi, wacha sasa nikatafute pilau nile nishibe then nihamie jukwaa la siasa niilaumu serikali
Apple au avocado?Nasubiri tunda 🤠🤠
😂😂😂😂😂😂
Aliyeichukua ametulia nayo.
Yaani wewe ni mzembe wa mwisho🤣
🍑Apple au avocado?
Nimefika 37 na sijachoka snaaMtachokaaa sana hadi mnafika 35 hamna tofauti na bibi wa miaka 60.. Wenzenu ambao wamenyooka 35 kama 16