Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za kiwaki, chimbozzz km chimbozz yaan aaaah nkaona wee, siweziiiii.

Kuna hiyo App sasa ika install fresh, kufunguka sasa, ni mtihan, kila nkijaribu inagomaaa, kheeeh nkashindwa mie.
Mange anapatikana

Sijui app gani hizo… ila yale ma wasap ya mchongo ndiyo hayakubali kabisa
 
Misingi ya kuishi Pamoja!
.
1. Ukifika Sehemu... Salimia
2. Ukiondoka Sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba Msamaha
6. Kama Hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa Kwa Wengine
8. Huna.... Usione Donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama Hupendi...... Heshimu
11. Ukipendwa... Onesha Upendo
12. Huwezi Kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuuliza .... Jibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua.. Safisha
20. Ukipungiwa..... Punga
21. Ukipewa.... Shukuru
22. Ukiazima... Rudisha

''Ukizifuata kanuni Hizi, Utaona Jinsi Utakavyoishi Na Watu Vizuri Hata Kama Huna Hela, Hii Ni kwa Binadamu Wote Hata Kama Ni Kiongozi'''


Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Maneno ya hekima
 
Screenshot_20220914_081309_com.google.android.youtube_edit_1447822299257.jpg


C. c MALCOM LUMUMBA
 
Misingi ya kuishi Pamoja!
.
1. Ukifika Sehemu... Salimia
2. Ukiondoka Sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba Msamaha
6. Kama Hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa Kwa Wengine
8. Huna.... Usione Donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama Hupendi...... Heshimu
11. Ukipendwa... Onesha Upendo
12. Huwezi Kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuuliza .... Jibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua.. Safisha
20. Ukipungiwa..... Punga
21. Ukipewa.... Shukuru
22. Ukiazima... Rudisha

''Ukizifuata kanuni Hizi, Utaona Jinsi Utakavyoishi Na Watu Vizuri Hata Kama Huna Hela, Hii Ni kwa Binadamu Wote Hata Kama Ni Kiongozi'''


Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Tugawie vocha basi hapo namba 7 mjomba nchumali si unacho? 😂🤸‍♂️
 
Back
Top Bottom