cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,296





kwan pumbu hazitoagi jasho? Na ule utoko utoko km unga, unao tokana na uchafuuuu, woiiiiiiiiu. Pumbu Erosion, woyeeeeeeeeeh!!!!













kwan pumbu hazitoagi jasho? Na ule utoko utoko km unga, unao tokana na uchafuuuu, woiiiiiiiiu. 












lolYaan wamenipiga na kitu kizitoUkitoka kazini sweetie uje nikurudishie tozo waliyo kukata 😔😔
Wabaya kabisa, tema mate tuwachape 😔😔Yaan wamenipiga na kitu kizito
Ubongo hapa bado unacheza cheza 😢
Ptuu 😒Wabaya kabisa, tema mate tuwachape 😔😔
naja ngoja nazurura huku mjiniEmbu dangia Lori uje unione![]()
Pole didi akeYaan wamenipiga na kitu kizito
Ubongo hapa bado unacheza cheza 😢
Ngoja nikawachukilie Marie asap!!🤗🤗🤗... Chai na biscuit za rafiki zangu nikute
Tunapiga selfie alafu tuanze safari😊😊😊Ngoja nikawachukilie Marie asap!!
Hongera rafiki sio kwa ulivyoisubiriaDk ya 6 nimeipata😂😂 hee maajabu
Santeeee
Hahahaa asante bestHongera rafiki sio kwa ulivyoisubiria
Daah. Mimi nilizaliwa siku ya njaa nini? Jana tena kuitikia mualiko ukawa ushamaliza.
Jamani jamani Coca, umeona nini huko Mwanjelwa?sio kila mtu mweupe n mrangi, mnyaturu au mchaga.
Wanyaki mnanikesha mnoooo, cc Saint Anne Heaven Sent
lol
Hauna njaa wewe. Acha mimi nijisogeze
Kumbe ndo maana ulikataa kupokea mualiko wa Depal
Kama hujaelewa uliza❤️Misingi ya kuishi Pamoja!
.
1. Ukifika Sehemu... Salimia
2. Ukiondoka Sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba Msamaha
6. Kama Hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa Kwa Wengine
8. Huna.... Usione Donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama Hupendi...... Heshimu
11. Ukipendwa... Onesha Upendo
12. Huwezi Kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuuliza .... Jibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua.. Safisha
20. Ukipungiwa..... Punga
21. Ukipewa.... Shukuru
22. Ukiazima... Rudisha
''Ukizifuata kanuni Hizi, Utaona Jinsi Utakavyoishi Na Watu Vizuri Hata Kama Huna Hela, Hii Ni kwa Binadamu Wote Hata Kama Ni Kiongozi'''
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app