cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,168
Yewaaaaaaaaaaah!!!!!Panawaka mpk ukikaa ndani hujisikii kutoka nje
Yewaaaaaaaaaaah!!!!!Panawaka mpk ukikaa ndani hujisikii kutoka nje
Lindi hapa?Sawa mkuu karibu getoView attachment 2355356
Woow pametulia rangi ya asili nzuri kabisa hiyoSawa mkuu karibu getoView attachment 2355356
Vipi mkuu?Daaah!!!
Uwii wewe 🤣🤣🤣🤣🤣Ukishika nondo hizo ni 🔥🔥🔥
Hii mtwara vijijin mkuu karibu sana ule koroshoLindi hapa?
Nzuri zaidi kuzidi zipi? 😂🤣🤣
Pandisha watu waanze kulia hapa Lenie boss lady cocastic Depal Carrasco putin Saint AnneMkiwa tayari nambieni nipandishe mzigoo
Boss pandisha mzigoMkiwa tayari nambieni nipandishe mzigoo
Ndio aweke saivi, me nishajiandaa hapa kugombania
Tuko tayari boss, weka mambo handharaniMkiwa tayari nambieni nipandishe mzigoo
NB: chukuen zote halotel mniachieMkiwa tayari nambieni nipandishe mzigoo


Badae naenda 😂@mkwepu jr kaita mtu geto![]()
😂😂😂Yaan ningekuwa mchaga ningekuwaje sijui maana hii sample hata kwetu hakuna ni mpya😂😂Aunt yangu utakua mchaga wewe tena wa Marangu mtoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mkwepu jr kajipatia tunda jaman National Anthem njoo uone hukuBadae naenda![]()