Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizo simu hapanaa [emoji1787][emoji1787] ikiwa chini ya 350

Kuna mtu alinipa infinix mpyaaa
Na box lake
Ikanipiga tukio usiku

Kesho yake nikaiweka sokoni
Tukio gani?!![emoji1][emoji1][emoji57][emoji57][emoji1][emoji1][emoji1]Mimi nyumbani wananiachamba wadogo zangu kaahh!muone infinix tekni unashindwa hata kutumia iPhone 6 plane!nawaambiaga hameni kwangu wachawi nyie[emoji57][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwenye picha ndo nakoma nnavyochambwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Selfika
 

Attachments

  • 20220913_120337.jpg
    20220913_120337.jpg
    435 KB · Views: 13
Back
Top Bottom