National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mapenzi huna hela 🤠🤠🤠ndege wanaishi kwa imani full 100%.. Hawafanyi chochote ila wanaishi acha wale raha zaoAu ya kule kanda maalum 😂
Mapenzi huna hela 🤠🤠🤠ndege wanaishi kwa imani full 100%.. Hawafanyi chochote ila wanaishi acha wale raha zaoAu ya kule kanda maalum 😂
Hapa hapa kapost huko juu hujaona? Tena wako na [emoji211].Wapi huko?
Nayo mkiaminiana sio mbaya ila kilamtu apewe muhusika sio ashikie mtu hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tunapeana mkononi.
Nachojua single mama ni wazuri watamu, wapo humble.. wasafi.. Ila napo ukikutana na single mother mwehu utajutraaa
Nayo mkiaminiana sio mbaya ila kilamtu apewe muhusika sio ashikie mtu hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tunapeana mkononi.
Utaachiwaa Saa ngapi sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1783][emoji1783] Sasa hivi nimeshikwa,
Ndo cashier anapewa, afu yeye anampa muhusika.Nayo mkiaminiana sio mbaya ila kilamtu apewe muhusika sio ashikie mtu hakuna
Nimeonaa
🤓🤓🤓 Leo hamna dalilia ya kuachiwa.. Nimeingia kwenye 18.. Nakula karanga tu hapa na koroshoUtaachiwaa Saa ngapi sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt yangu utakua mchaga wewe tena wa Marangu mtoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nayo mkiaminiana sio mbaya ila kilamtu apewe muhusika sio ashikie mtu hakuna
@mkwepu jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Jamaa anatuokoa sana sisi jobless
Au ndio maana kuna saa nahisi kudata data, usiku naona maluweluwe nashindwa kulala 🤣🤣🤣
Kumbe una sauti nzuri hiviJamaa anatuokoa sana sisi jobless
Leo ume comment uwiiiioh.Jamaa anatuokoa sana sisi jobless