reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,363
We ASA nuksi,jamani mi staki jamani vinatia stressASA best zangu wamenijaza kopa usijali maneno mengiii [emoji51][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
We ASA nuksi,jamani mi staki jamani vinatia stressASA best zangu wamenijaza kopa usijali maneno mengiii [emoji51][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani kaaahhh!Mpendwa acha kabisa yaani ilifikia hadi nafunga biashara siku ya rejesho kuogopa watakuja kunijazia inzi [emoji51][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani pesa zao kama Zina uchawi jamani[emoji26][emoji38][emoji1][emoji6][emoji57],nawaogopa mnoooHapana nilikuwa na bishara nikakopa ili niongezee mzigo kweli niliongeza shida biashara ikawa ni ngumu yaani ile pesa iliniletea balaa [emoji51]
Potrait 🤠🤠Shot on Google Pixel. 🔥
HatutakiAsubuhi njema wadau
Sasa si anabaki kwenye hiyo 10 percent iliyobaki?Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu 😂😂
Mkononi vinyweleo ndio hivo? Huko ndichi jeee 🙈🙈Habari za jioni wanaselfika wote!View attachment 2354823
Poleni jirani, kwanini hamtaki salam..Hatutaki
Tuna stressPoleni jirani, kwanini hamtaki salam..
Aiseee....Mungu aiondoe 🙏Tuna stress
Amin jiraniiAiseee....Mungu aiondoe 🙏
Siasa na usanii juuu!! Janja janja sana AnneSaint Anne naamini ni mwanasiasa
Unazingua kinomaaa!!Msubirie boss leidee..
Akitia tu mguu basi biashara imekwisha.
Hahahaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu toa loc mapemaaa, nianze kazi, udalali na ukuwadi ndo kazi yangu inaniweka town.
Fanya nisomeshee mchongoo huu fastaaaaaaa!!!
AntonniaUnazingua kinomaaa!!
Forever and always mkuu samaleko!✋Antonnia
Ona sasa mnavyopishana kujaSiasa na usanii juuu!! Janja janja sana Anne
Si unaona Pilot ametokomea tenaUnazingua kinomaaa!!
Umetuweza mbona!! 🙌🙌🙌🙌Ona sasa mnavyopishana kuja
Siyo mimiUmetuweza mbona!! [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]