cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizike
Nilikuwa nampiga vibomu baba chaja mpaka akanistukia maana si kwa kasi ile sitakiii tena![]()






Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizike
Nilikuwa nampiga vibomu baba chaja mpaka akanistukia maana si kwa kasi ile sitakiii tena![]()






Mmmmh hakna bhanaa,Nina bonge la komwe
Style ya nywele isikudanganye





Usinifanyie hivo Saint Anne weka original moja tuu nilale na amani kesho ntapita naked kabisa! Saivi niko mobimba alafu picha ziko kwa pc mpaka home!Ukiweka yako, nitaweka.
😂😂😂😂😂Mikopa sijui ina nuski gani mwaka jana nusu nichizike😁😁😁
Nilikuwa nampiga vibomu baba chaja mpaka akanistukia maana si kwa kasi ile sitakiii tena 😬😁😁😁
Michezo ya vicoba sijawahi kuiamini.Unaishije sasa mjini maana wadada karibia 90% wa mujini ni vikoba au ule unaitwa mchezo na Brak sijui black. Na mwingine naskia unaitwa nyonya damu 😂😂
ASA best zangu wamenijaza kopa usijali maneno mengiii 😬😁😁Ulikopa wapi au saccos!
Ukishafika home kesho utaweka.Usinifanyie hivo Saint Anne weka original moja tuu nilale na amani kesho ntapita naked kabisa! Saivi niko mobimba alafu picha ziko kwa pc mpaka home!
Usicheke shogaaa 😁😁😁
Kesho uwakika kesho naenda kutafta karanga huko bariadi kwahyo sitakuwa mobimba.Ukishafika home kesho utaweka.
Mpendwa acha kabisa yaani ilifikia hadi nafunga biashara siku ya rejesho kuogopa watakuja kunijazia inzi 😬😁😁😁😂😂😂😂😂
Kibubu? 😳 Zamani niliwekaga kwenye kibubu kuja kuvunja nakuta mchanga na kokoto. Binaadamu ni shidaah!Michezo ya vicoba sijawahi kuiamini.
Ni heri niweke hela kwenye kibubu kuliko kutupa hela yangu kwenye kicoba.
😂😂😂😂😂🙌Mpendwa acha kabisa yaani ilifikia hadi nafunga biashara siku ya rejesho kuogopa watakuja kunijazia inzi 😬😁😁😁
Ndiyo kibubu.Kibubu? 😳 Zamani niliwekaga kwenye kibubu kuja kuvunja nakuta mchanga na kokoto. Binaadamu ni shidaah!
Hapana nilikuwa na bishara nikakopa ili niongezee mzigo kweli niliongeza shida biashara ikawa ni ngumu yaani ile pesa iliniletea balaa 😬Alafu ukaishia kununua nguo, kununua vyombo, kwenda saloon, mikoba na kutunza watu kwenye masherehe 😂😂 Nuzulati uliifanyia biashara kweli huo mkopo.
Huogopi chuma ulete?Ndiyo kibubu.
Mimi huwa naweka humo.
Kuna mtu alikulia timing akatoa maana zinachomoka vizuri tu hasa vibubu vyetu hivi local.Kibubu? 😳 Zamani niliwekaga kwenye kibubu kuja kuvunja nakuta mchanga na kokoto. Binaadamu ni shidaah!
Hakuna cha Chuma uleteHuogopi chuma ulete?
Sawa, nasubiri.Kesho uwakika kesho naenda kutafta karanga huko bariadi kwahyo sitakuwa mobimba.