Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

This thing gone blow my speakers! 😂
Screenshot_20220912-214230.jpg
 
Imagine mtu anadaiwa vikoba, mshahara haujatoka, anadaiwa kodi ya nyumba na nyumbani mzazi wake anaumwa! Alafu anakuja hapa mtandaoni akihisi labda atapata faraja kana kwamba wote tunafahamu changamoto anazopitia, then anakuta uhalisia wa mitandao hauko hivo. Kifuatacho ni frustrations na stress matokeo yake ataanza kumuona kila mtu kama ndio chanzo cha matatizo yake. Psychological facts.
 
Kabisa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nna shida na 2m hapa niazimeni baas

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
INSECURITIES: HALI YA MTU KUTOJIAMINI NA KILA MUDA KUISHI KWA WASIWASI. Ni hali mbaya haswa huku mitandaoni utaishia kugombana na watu kila uchwao haswa ukizingatia kila mtu amekuja na tabia zake na huwezi zibadili ziendane na zako. Psychological facts.
 
Hali ya kutopenda mapenzi inaitwaje Mr physiology
 
Back
Top Bottom